Catch Faby Anantoniyo on Magic fm tare 8 may 2021
CATCH FABY ANANTONIYO
ON MAGIC FM
Anantoniyo siku ya tare 8 may 2021 atakuwa live kwenye magic fm Kama tunavyo mjua huyu jamaa kwa kuandika hafai kwaiyo tujitahidii siku iyo kwenda kusikiliza mahojiano hayo pia sikui atatupa mistari kidogo na kutuelezea juu ya kazi yake inayo kuja na historia yake kwa ufupi mda utakuwa ni saa 05:00-08:00pm
No comments