NEWS | Next level kumtambulisha msani wao mpya
Record lebo ya next level music imeweza kutoa taharifa rasmi juu ya ujio wa msani wao mpya anae famika kwa jina la macvoice ambapo leo CEO wa lebo iyo ameweza kushare picha hiyo inayo mwonesha msani wake amabae ina tarajia kumtangaza rasmi tare 24/9/2021 na ndipo siku hiyo tutaweza kusikia kazi zake na kazi zake zote zitapatika ndani ya luzemedia follow page yake @macvoice_tz
No comments