Download our android app on your phone {Luzemedia app}
Leo tuna taarifa njema kwa fans wetu wanao tufwatilia katika blogger yetu ya luzemedia leo tumeleta app ambayo itapatikana katika simu yako ya mkononi itakayo kurahisisha fans wetu kupata taarifa na nyimbu mpya kutoka kwa wasani mbali mabli ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania 🇹🇿
*jinsi ya kupakua app yetu ya luzemedia *
Uta click picha iliopo chini yenye langi nyeusi iliyo andikwa get our app on google play kisha utaenda kuistall kwenye simu yako unata istall kama tunavyo insatal gb whatsapp kwa sababu hii nii Apk ikiwatiali playstore tuta waambia
cc : Luzeboy
No comments